Mpango asimulia Magufuli alivyomsisitiza kumtegemea Mungu, kudhibiti mapato ya Serikali

Dar es Salaam. Katika kumbukumbu zake kuhusu aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, John Magufuli, Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango anasimulia kwa sauti ya utulivu lakini yenye hisia akikumbuka kiongozi aliyemfundisha kumtegemea Mungu na kusimamia fedha za umma kwa nidhamu isiyoyumba. Dk Mpango ametoa simulizi hiyo leo Chato inakofanyika misa takatifu ya kumbukumbu…

Read More

Chaumma yaahidi kujenga barabara ya Uvinza-Kasulu

Kigoma. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi kujenga barabara ya lami kutoka Uvinza hadi Kasulu Mjini kupitia Kata ya Basanza, endapo atachaguliwa kuwa Rais Oktoba 29, mwaka huu. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Septemba 20, 2025, katika Kata ya Basanza, Mwalimu amesema barabara hiyo ni…

Read More