Kilio wananchi, madereva kero ya foleni Dar
Dar es Salaam. Ukiacha wingi wa mishemishe, starehe, biashara na vituko vinavyotokana na idadi kubwa ya watu katika Jiji la Dar es Salaam, msongamano wa magari barabarani ni moja ya karaha yenye maumivu yanayogusa sekta nyingi. Mbali na kuwa kikwazo cha kuwahi kazini, msongamano wa magari unadhoofisha uzalishaji wa nchi, unaongeza gharama za usafiri na…