
Wanawake wanapovunja ukimya wa hisia, wanawake nao wanaweza kuwatokea wanaume
Katika jamii nyingi za Kiafrika, kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kwamba jukumu la kumtongoza mpenzi ni la mwanaume pekee. Hata hivyo, hali kiuhalisia, wanawake nao wanaweza kuwa mwanzo wa kusababisha uhusiano. Wanawake wanazidi kuthibitisha kuwa nao wana haki na uwezo wa kuonyesha mapenzi kwa mtu wanaowapenda, bila kuona haya au kuhisi wanavunja mila. Diana…