
BILIONI 900 KUKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA-TANROADS
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetenga zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua za El-Nino na kimbunga Hidaya. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Kaimu Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Ephatar Mlavi, wakati wa mkutano…