Askofu Malasusa agusia utekaji, asema unatia hofu
Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amegusia matukio ya utekaji yanayoripotiwa nchini akisema, Watanzania wamepitia kipindi kigumu. Amesema tangu azaliwe kwake hajawahi kusikia watu wakitekwa. Amesema hayo leo Desemba 25, 2024 katika Kanisa la Azania Front, jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya Krismasi…