Konde Boy kucheza Ligi Kuu Misri

KINDA wa Azam FC, Arafat Masoud ‘Konde Boy’ (18), amejiunga na ENNPI ya Ligi Kuu Misri kwa mkataba wa miaka mitatu baada ya kudumu kwa miaka minane Chamazi. Kinda huyo alijiunga na Azam mwaka 2017 akicheza timu za vijana za U-17 na U-20 kabla ya kupandishwa kikosi cha wakubwa na msimu uliopita aliichezea Fountain Gate…

Read More

Wasaini kanuni za maadili wakikumbushwa kuzingatia wajibu

Unguja. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amezitaka pande tatu zinazohusika katika mchakato wa uchaguzi kuzingatia maelekezo ya kanuni za maadili ili kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, unafanyika kwa amani, haki na mshikamano. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Agosti 24, 2025, katika ofisi kuu za ZEC Maisara,…

Read More

Sura mbili waume kuwazuia wake kufanya kazi

Dodoma. Juzi nilikutana na mjadala mkali nisioutarajia maeneo ya Posta jijini Dar. Nilikuwa nikisafisha viatu katika kijiwe kimoja kinachowakutanisha watu wengi wanaopenda kujadili masuala kadhaa wakisubiri huduma hiyo. Mjadala wenyewe ulianzishwa na mzee mmoja, mtumishi wa umma, anayeonekana kukaribia kustaafu. Mzee alimlalamikia mkwe wake kwa kumnyanyasa mwanawe. …

Read More

Samia amjengea nyumba Bibi Catherine na wajukuu zake sita

Bukoba. Serikali imemkabidhi nyumba mpya Catherine Nathahiel pamoja na wajukuu zake sita, baada ya kupoteza makazi yao kufuatia mafuriko yaliyoikumba Manispaa ya Bukoba, Mei 10, 2024. Nyumba hiyo imejengwa kwa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kama sehemu ya ahadi yake ya kuwasaidia waathirika wa maafa hayo. Mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa…

Read More

TAASISI ZA UMMA TEKELEZENI SHERIA YA MAZINGIRA

  Meneja wa Maeneo Maalumu na Mabadiliko ya Tabianchi, kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),Dkt. Careen Anatory Kahangwa,akizungumza wakati wa semina ya mafunzo kuhusu nyenzo za usimamizi wa mazingira, chini ya Mradi wa Kuimarisha Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira (EMA), iliyofanyika kwa ajili ya taasisi za umma kwa niaba ya…

Read More

Wafanyikazi wa Afya na Msaada Wanaolenga Migogoro Ulimwenguni Pote, Shirika la UN linasema – Maswala ya Ulimwenguni

Mashambulio dhidi ya vituo vya afya viliongezeka mara mbili kati ya 2023 na 2024, na zaidi ya wafanyikazi wa afya 900 waliuawa mwaka jana, shirika hilo liliripoti. Wafanyikazi wa misaada ya kibinadamu pia waliuawa kwa idadi ya rekodi mnamo 2024. Bado, 2025 inazidi hata takwimu hizi za giza wakati ambao ufadhili wa kazi ya kibinadamu…

Read More