Ibrahim Ajibu aanza tambo mapema
KIUNGO mshambuliaji wa KMC, Ibrahim Ajibu ameweka wazi atakuwa na msimu bora katika kikosi hicho akipewa nguvu na ubora wa usajili uliofanywa na uongozi wa timu. Ajibu msimu 2025/26 ataitumikia KMC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na amejiunga na timu hiyo akitokea Dodoma Jiji. Pia amewahi kucheza klabu kadhaa hapa nchini zikiwemo Simba,…