Wawili waliokiri kuua bila kukusudia jela miaka 20
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Sumbawanga, imewahukumu adhabu ya kifungo cha miaka 20 Anderson Luhozya na Habona Antony baada ya kukiri kuua bila kukusudia. Wakati Mahakama hiyo ikiwahukumu adhabu hiyo, imemuachia huru Maliki Nestory, kwa masharti ya kuwa chini ya usimamizi wa baba yake mzazi Nestory Telemka kwa kipindi cha miaka miwili bila kutenda…