BALOZI CP KAGANDA AKUTANA NA MKURUGENZI WA IDARA YA AFRIKA NA ASIA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika na Asia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Biashara za Kimataifa ya Zimbabwe, Bw. Mqabuko Dube. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika nchini Zimbabwe, viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na…

Read More

Mwalimu: Tutaibadili Uyole kuwa kitovu cha biashara Afrika

Mbeya. Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, serikali yake itaanzisha mpango kabambe wa kuliboresha eneo la Uyole, mkoani Mbeya. Amesema ataboresha eneo hilo kwa kujenga kituo cha kimataifa kitakachokuwa mfano wa ukaribisho wa Tanzania kwa wageni kutoka…

Read More

Mziki mnene wa Simba Day

LEO ndiyo ile siku ya kipekee kwa Simba na mashabiki wa klabu hiyo, iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu. Ni kilele cha Tamasha la Simba Day na ndiyo siku maalumu ya Wanalunyasi hao kutambulisha kikosi kizima kwa msimu mpya wa 2025/2026. Huu ni msimu wa 16 wa Simba Day tangu lilipoanza rasmi mwaka 2009, chini ya Mwenyekiti…

Read More

‘Utawala wa kimabavu hutumia adhabu ya pamoja kukatisha tamaa yoyote kwa mamlaka yake’ – maswala ya ulimwengu

na Civicus Jumatano, Septemba 17, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Civicus anajadili vifo vya wanaharakati wa asili waliofungwa huko Tajikistan na Khursand Khurramov, mwandishi wa habari huru na mchambuzi wa kisiasa. Khursand Khurramov Wanaharakati watano wa asili wa Pamiri wamekufa katika magereza ya Tajikistan mnamo 2025, iliripotiwa baada ya kukataliwa msaada wa kutosha wa…

Read More

Ruwaich ataja athari za jamii kukizoea kifo

Dar es Salaam. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi ametuma ujumbe kwa Watanzania akiwataka kutokizoea kifo kwani kufanya hivyo watakuwa viumbe wa ajabu. Ametahadharisha endapo watu watajenga mazoea dhidi ya kifo, watasababisha mauaji ya binadamu wenzao kwa mzaha. Ametoa wito huo leo Jumamosi Septemba 27, 2025 wakati…

Read More

Takukuru kushirikiana na FIU, kuchunguza utakatishaji fedha

Dodoma. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Kitengo cha Kudhibiti fedha haramu (FIU) wametiliana saini mkataba wa kubadilishana taarifa nyeti. Tukio hilo limefanyika ofisi za Takukuru makao makuu Dodoma leo Jumatano Septemba 24, 2025 mkataba ukitajwa kuwa unakwenda kumaliza mapungufu ya kiuchunguzi na muda unaotumika hasa kwenye uchunguzi na utakatishaji fedha. Mkurugenzi…

Read More

RAIS NDAYISHIMIYE AWASILI TANZANIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 25 JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ARUSHA.

:::::::::: Rais wa Jumhuri ya Burundi  Évariste Ndayishimiye amewasili katika Uwanja wa Ndega wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) Mkoani Kilimanjaro, kushiriki katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaofanyika leo tarehe 7 Machi 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha.  Akiwasili Mkoani humo amepokelewa na…

Read More