Viwanda Mkoani Pwani Vyatakiwa Kuboresha Mazingira ya Kazi

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo, ameziagiza menejimenti za viwanda Mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye tija. Ametoa agizo hilo katika ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa sheria mbalimbali…

Read More

TRA Geita yavuka lengo la makusanyo, ikiwageukia wafanyabiashara wasio rasmi

Geita/Dodoma. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Geita imekusanya Sh69.2 bilioni kwa mwaka wa fedha 2024/25, sawa na asilimia 113 ya lengo la Sh61.7 bilioni ililopaswa kukusanya. Sambamba na mafanikio hayo, mamlaka hiyo imetangaza mkakati mpya wa kuwashirikisha wafanyabiashara wadogo na wale wa sekta isiyo rasmi kupitia dawati maalumu la uwezeshaji biashara, ili kuwawezesha kurasimisha…

Read More

Samia awataja wakulima akiahidi kongani za viwanda

Mbalizi.  Leo ikiwa ni siku ya nane tangu kuzinduliwa kwa kampeni za uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, mgombea wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa ahadi kwa wananchi endapo watamchagua. Katika maeneo yote aliyopita, mgombea huyo amekuwa akitoa ahadi zinazolenga kuchochea maendeleo na ustawi wao hasa katika huduma…

Read More