Mambo yamnyookea Simbu jeshini, sasa ni Sajinitaji

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempandisha cheo, Sajini Alphonse Simbu kuwa Sajinitaji (Staff Sergeant) baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika mashindano ya dunia ya mbio za marathon ya kilomita 42 yaliyofanyika Tokyo, Japan. Simbu amepandishwa cheo leo, Alhamisi Septemba 25, 2025 katika Makao Makuu ya Jeshi Upanga, jijini Dar es…

Read More

Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema

Geita. Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao kwenye maisha kwa kudumisha matendo mema kama ilivyokuwa wakati wa Ramadhani, ili awajalie kufanikiwa katika haja zao ambazo walimuomba. Rai hiyo imetolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Sheikh Dauda Bushumbilo kutoka Taasisi ya Ansari Geita Mjini, wakati wa swala ya…

Read More

Hiki hapa chanzo cha ahaji ajali migodini

Dar es Salaam. Wakati mara kadhaa Serikali ikinyooshewa kidole pale zinapotokea ajali kwenye migodi, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini, Terrence Ngolo amesema ajali hizo haziwezi kuisha kutokana na watu kukiuka maelekezo ya wataalamu. Amesema wakati mwingine ajali hizo hutokea kwa uzembe hasa pale wachimbaji wanapokiuka maelekezo ya tahadhari yanayotolewa na wataalamu. Ngolo amesema hayo leo…

Read More

Rais Sri Lanka atupwa sero kwa matumizi mabaya ya fedha

Idara ya Upelelezi wa Jinai (CID) nchini Sri Lanka imemkata aliyekuwa Rais wa zamani wa Taifa hilo, Ranil Wickremesinghe kwa madai ya matumizi mabaya ya fedha za Serikali. Wickremesinghe (76) amekamatwa baada ya kufika katika ofisi ya CID katika mji mkuu Colombo kutoa maelezo ya taarifa ya uchunguzi wa ziara yake ya London pamoja kuhudhuria…

Read More

Ushirikiano wa Kusini-Kusini ni nini, na inaweza kuwa lango la ulimwengu mzuri? – Maswala ya ulimwengu

Kwa maneno ya kweli, ushirikiano wa Kusini-Kusini ni mchakato ambao nchi zinazoendelea-bila kujali eneo lao la jiografia-hutafuta kufikia malengo yao ya kibinafsi au ya pamoja kupitia kubadilishana maarifa, ustadi, na rasilimali, kwa ushirika unaohusisha serikali, mashirika ya mkoa, asasi za kiraia, wasomi, na sekta binafsi. Uzoefu na malengo ya nchi nyingi katika kile kinachojulikana kama…

Read More