Hatima ya Mpina yamsubiri msajili
Dar es Salaam. Baada ya majadiliano ya saa moja na nusu, hatima ya Luhaga Mpina kugombea urais wa Tanzania kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, sasa imo mikononi mwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, iliyoahidi kutoa uamuzi kabla ya Agosti 27. Hatua hiyo imefikiwa baada ya pande mbili zenye msimamo…