DMI YASHIRIKI MAONESHO YA VYUO VIKUU TANZANIA VISIWANI PEMBA

CHUO Cha Bahari Dar es Salaam ni miongoni mwa taasisi mbalimbali za serikali na binafsi katika Maonesho ya Vyuo Vikuu Tanzania yanayoendelea katika viwanja vya Gombani – Pemba. Maonesho hayo ni mfululizo wa maonesho ya vyuo vikuu yanayoandaliwa na kuratibiwa na NACTVET ambapo mwaka huu 2024 yalianzia jijini Arusha kufuatiwa Unguja na sasa kuhitimishwa katika…

Read More

Yajue mabadiliko yaliyotikisa Bunge la 12

Dodoma. Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 utaanza Aprili 8, 2025, jijini Dodoma. Ni mkutano wa mwisho katika uhai wa Bunge la 12 chini ya Spika Dk Tulia Ackson na Naibu wake, Mussa Zungu, pamoja na wenyeviti watatu. Katika mkutano huu wa mwisho wa uhai wa Bunge la Tanzania, kwa uzoefu, wabunge hupitisha miswada…

Read More

Wagombea urais TLS ‘wanyukana’ kwa dakika 150

Dar es Salaam. Suala la kupatikana kwa Katiba mpya, ulinzi wa rasilimali za Taifa na matukio ya utekaji, ni miongoni mwa mambo yaliyojenga msingi wa hoja za wagombea wa urais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), zilizochukua dakika 150 sawa na saa 2:30. Hoja hizo zilikuwa mithiri ya turufu kwa kila mgombea alipojibu maswali yaliyoulizwa…

Read More

ADC kuzalisha tani 150,000 za chakula kuondoa njaa Zanzibar

Unguja. Mgombea urais wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Hamad Rashid Mohamed amesema chama hicho kikichaguliwa ndani ya mwaka mmoja kitazalisha tani 150,000 za mchele kwa kutumia hekta 5,000. Hayo ameyasema leo Jumanne Septemba 30, 2025 katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja. Amesema, ikiwa wakulima wa…

Read More

Mageuzi makubwa Sekta ya Ardhi yanakuja-Silaa

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema mageuzi makubwa Sekta ya ardhi yanakuja baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara yake na Mtaalamu Mshauri wa Mradi Mkubwa wa Kuimarisha na Kuboresha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) wenye thamani takribani Sh Bilioni 150. Waziri Silaa…

Read More