Zawadi aina saba za kumpa mwenza wako

Mwanza. Katika maisha ya ndoa, kuna mambo mengi yanayochangia kuimarisha uhusiano kati ya wanandoa.  Miongoni mwa mambo hayo ni mawasiliano mazuri, kuheshimiana, kusameheana, na kushirikiana katika majukumu ya kila siku.  Hata hivyo, kuna jambo jingine linalochukuliwa kuwa dogo na lisilo la lazima na watu wengi, lakini lina nguvu kubwa ya kuimarisha mapenzi na kuleta furaha…

Read More

Mataji yampa nguvu Rehema tenisi walemavu

MATAJI aliyoyapata Rehema Said katika mashindano ya kimataifa ya tenisi kwa walemavu 2025 (International Tennis Federation Wheelchair Tournament), yamempa nguvu mwanadada huyo katika kufanya makubwa zaidi katika michuano mingine ijayo. Mashindano hayo ya mwaka huu yalifanyikia jijini Nairobi, Kenya na Regema alishinda mataji matatu, moja ya binafsi na mengine mawili ya kushindana dhidi ya wachezaji…

Read More

Morocco awapa mchongo mpya Bacca, Job

UKUTA wa Yanga kwa sasa kuna mabeki wawili wa kati wa maana Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ na nahodha msaidizi, Dickson Job ambao wanaibeba timu hiyo katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa, lakini kocha mmoja aliyeweka rekodi hivi karibuni, amevunja mkimya na kuwapa mchongo wa maana kwa mustakabali wa soka na maisha yao kwa ujumla….

Read More

Watoto wenye magonjwa ya moyo wakumbukwa

Dar es Salaam. Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imejitosa kusaidia mpango wa kitaifa unaolenga kuimarisha upatikanaji wa huduma za matibabu na rufaa za mapema kwa watoto wenye magonjwa ya moyo hapa nchini. Mpango huo unatekelezwa na GGML,  kampuni tangu ya AngloGold Ashanti Afrika, kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)…

Read More

‘Walimu wasiosimamia adhabu ya viboko waondolewe’

Simiyu. Serikali imeshauriwa kuwaondoa katika nafasi zao walimu wakuu na wakuu wa shule za msingi na sekondari ambao watashindwa kusimamia utoaji wa adhabu ya viboko kwa wanafunzi kwa kufuata Waraka wa Elimu Namba 24. Ushauri huo umetolewa baada ya ongezeko la matukio ya udhalilishaji na madhara kwa wanafunzi yanayosababishwa na adhabu hizo, hasa baada ya…

Read More

Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video – Global Publishers

Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii ya kukaa na anaendelea vizuri ambapo amesema hivi sasa hata watu wakimuona hajisikii vibaya tena kwani anaamini atapona. Furaha ya Leyla imeongezeka baada ya @zali_mapito kumfanyia surprise kwenye siku ya ‘Valentine’ Februari…

Read More

Mwandishi wa habari aamriwa kumlipa DED Sh2 bilioni

Mwanza. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemwamuru mwandishi wa habari na mtangazaji, Alloyce Nyanda ‘Mtozi’ kumlipa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Aaron Kagurumjuli Sh2 bilioni kama fidia kwa kumdhalilisha kwa njia ya mtandao. Hukumu hiyo imesomwa leo Ijumaa Aprili 11, 2025, saa tatu asubuhi na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa mahakama hiyo, Boniventure Lema. Wakati…

Read More