Mtandao mpya wa kuwatafutia wabunifu mitaji wazinduliwa

Dar es Salaam. Wamiliki wa kampuni changa za kibunifu (Startups) huenda wakawa mbioni kuondokana na changamoto ya mitaji baada ya kuzinduliwa mtandao utakaowaunganisha na wawekezaji. Uzinduzi wa mtandao huo umefanyika wakati ambao mtaji ni kilio kwa wabunifu, hali inayosababisha mawazo yao kushindwa kuendelea na kuleta tija iliyokusudiwa kwa jamii. Mtandao ujulikanao Malaika (Rhapta Angels Investor…

Read More

Mojtaba Khamenei Achaguliwa Kuwa Kiongozi Mkuu Mpya wa Iran

Global Publishers March 9, 2026 0 Comments Tehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei, aliyekuwa akiongoza taifa hilo kwa miongo kadhaa. Mojtaba Khamenei, mwenye umri wa miaka 56, ni mmoja wa wanazuoni wa Kiislamu waliopata elimu yao katika seminari maarufu ya Qom…

Read More

Sh1.7 bilioni zanufaisha vikundi 165 vya wanawake Mbarali

Mbarali. Katika kuhakikisha wanawake wanawezeshwa kiuchumi, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya, imetoa zaidi ya Sh1.7 bilioni kwa vikundi 165 vya wanawake pekee. Hatua hiyo ni kutekeleza maelekezo ya Serikali, kuzitaka halmashauri nchini kutoa mikopo ya asilimia 10 kwa makundi ya wajasiriamali wadogo, kwa lengo la kukuza uchumi wa kipato. Kauli hiyo imetolewa…

Read More

Wadau wa elimu wataja njia kuinua ufaulu wa hisabati

Dar es Salaam. Wakati leo Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hisabati, wadau wa elimu nchini wameeleza wasiwasi kuhusu kiwango cha ufaulu wa somo hilo wakisema bado hakiridhishi licha ya juhudi zinazofanywa na Serikali na wadau wa elimu. Wadau hao wanasema ili kuboresha ufaulu wa somo hilo ni muhimu kuimarisha…

Read More

JKT Queens yaanza kibabe CECAFA Women

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA kwa Wanawake ya kuwania tiketi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa JKU Princess mabao 5-0 kwenye mchezo wa Kindi C. Mechi hiyo imepigwa mchana huu kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex  Kenya ambako mashindano hayo yanaendelea kufanyika kuanzia jana hadi…

Read More