Madhara ya mke kuwa muongeaji kupitiliza Yapa Hapa – Global Publishers

Last updated Sep 14, 2025 USHAWAHI kukutana na mwanamke anaongea sana? Yaani yeye ni bandika bandua. Likiisha hili anaingiza hili, anajua kila kitu. Ana ujasiri wa kuzungumza kwelikweli hata kama waliomzunguka wote ni wanaume.  Akianza kuongea jambo lake hakubali kushindwa. Anataka aongee, asikilizwe na ikiwezekana waliomzunguka wote wawe upande wake. Haoni aibu. Hajishtukii hata…

Read More

Uvumilivu, bidii, imani vilivyobadili maisha ya Benedicta

Dar es Salaam. Katika jamii nyingi za Kitanzania, ndoto za mtoto wa kike mara nyingi hukwama njiani kutokana na changamoto za kiuchumi, mila na mitazamo potofu. Hata hivyo, simulizi ya Benedicta Mrema ni ushuhuda kuwa bidii, uvumilivu na imani vinaweza kubadili mkondo wa maisha. Ni hadithi ya binti aliyekataa kukata tamaa licha ya vikwazo vilivyoonekana…

Read More

Wanadiplomasia, wadau wa maendeleo waipa Tanzania mbinu kukuza biashara

Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo na wanadiplomasia wameishauri Tanzania kuchukua hatua za haraka kuboresha mazingira ya biashara ili kuvutia wawekezaji zaidi. Mapendekezo yao ni pamoja na kupunguza udhibiti wa taasisi nyingi, kuondoa urasimu, kuimarisha kituo cha huduma za pamoja na kuhakikisha utekelezaji wa mipango unafanyika kwa vitendo. Wametoa maoni hayo katika mkutano wa wadau…

Read More

Bolt Tanzania Yagawa Discount Inayoitwa “BOLTXSIMBU” Kusherehekea Medali ya Kwanza ya Dhahabu ya Tanzania.

Bolt Tanzania kwa fahari inatangaza kuzindua nambari mpya ya punguzo, SIMBU, kwa heshima ya Alphonce Felix Simbu, aliyefanya historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kushinda medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Riadha. Ushindi wa Simbu umeiweka Tanzania kwenye ramani ya riadha ya kimataifa, sambamba na mataifa yenye nguvu kama Kenya. Huu si ushindi…

Read More