Dk Mwinyi ataja vikwazo vitatu ukuaji wa uchumi Zanzibar

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja mambo makuu matatu yanayokwamisha uchumi wa Zanzibar kukua kwa kasi na jinsi wanavyoyatafutia ufumbuzi yote kwa mpigo. Mambo hayo ni ufinyu wa bandari, uhaba wa umeme na hifadhi ndogo ya mafuta. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Jumapili Machi 22, 2026 wakati akihutubia wananchi baada ya kuweka…

Read More

Paskazia alivyopambania elimu ya mwanaye mwenye ulemavu

Tanga. Katika kijiji kidogo cha Mjesani wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga kuna simulizi inayogusa moyo na kutoa somo kubwa kuhusu nguvu ya upendo wa mama. Ni hadithi ya mwanamke aliyepambana na changamoto za maisha, umaskini na maumivu ya kutelekezwa, lakini hakukata tamaa katika ndoto yake ya kuona mwanaye mwenye ulemavu akipata elimu bora. Huyu ni Paskazia…

Read More

Msimu huu namba za Yanga zinakataa, mtihani uko hapa!

NAMBA ambazo Yanga walizitengeneza msimu uliopita wa ligi 2024-2025, zinaonekana kuwakimbia msimu huu wa 2025-2026 na watatakiwa kufanya kazi ya ziada ili kuzifikia  huku mambo yakionekana kutowaendea vizuri. Yanga ambao wamemaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara wakiwa kileleni, jana walianza mzunguko wa pili kwa kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar…

Read More

Chelsea Yapokea Kipigo Kingine cha Aibu Dhidi ya Everton

Global Publishers March 21, 2026 0 Comments Mshambuliaji Beto ameibuka shujaa wa Everton FC baada ya kufunga mabao mawili muhimu yaliyoisaidia timu yake kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Chelsea FC katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Hill Dickinson. Everton walionyesha ubora wao tangu dakika za mwanzo za mchezo huo, huku Beto…

Read More