Takukuru yabaini madudu miradi ya Sh6.6 bilioni
Moshi. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imebaini mapungufu katika miradi 11 ya maendeleo yenye thamani ya Sh6.68 bilioni mkoani Kilimanjaro. Akitoa taarifa ya utekelezaji katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Musa Chaulo, amesema katika kipindi hicho taasisi hiyo ilifuatilia utekelezaji wa miradi…