Mabula aanza rasmi Ligi Kuu Azerbaijan

KIUNGO Alphonce Mabula wa Shamakhi FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Azerbaijan amesema sasa anaanza kazi rasmi baada ya kupata uzoefu wa kucheza ligi hiyo, tangu alipojiunga nayo dirisha dogo la msimu uliopita na kucheza miezi sita. Mabula ambaye alijiunga na Shamakhi akitokea FK Spartak Subotica ya Ligi Kuu ya Serbia alikocheza kwa misimu miwili, aliliambia…

Read More

Uvunjaji mikataba usiofuata sheria wamliza wakili mkuu

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine Wakili Mkuu wa Serikali, Dk Boniface Luhende ametaja mambo matano yanayoweza kuathiri utendaji wa taasisi yake, akirejea uvunjaji wa mikataba kwa taasisi za umma bila kuzingatia sheria unavyoitia hasara Serikali. Uvunjaji huo wa mikataba licha ya kutozingatia sheria na kanuni, amesema unapofanyika ofisi yake haishirikishwi. “Baadhi ya taasisi za…

Read More

Hizi ndio ‘couple’ zilizovunja rekodi ya dunia kwa kuishi muda mrefu

Ndoa ni taasisi ya kijamii inayounganisha watu wawili katika uhusiano wa karibu unaotambulika kisheria na kijamii, pia hutarajiwa kudumu kwa muda mrefu hadi kifo kitakapowatenganisha. Hata hivyo siyo wote hufanikiwa kutimiza agano hilo takatifu kutokana na sababu mbalimbali, baadhi ya ndoa huvunjika baada ya kupita muda fulani. Hata hivyo, imekuwa tofauti kwa wanaondoa hawa ambao…

Read More

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAZABUNI NA WAKANDARASI

 Na. Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma Serikali imeeleza  kuwa katika bajeti ya mwaka 2023/24, ilitenga jumla ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni ya wazabuni, wakandarasi, watumishi na watoa huduma mbalimbali ili kupunguza mzigo wa madeni na kuimarisha utendaji wa miradi ya Serikali. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe….

Read More

Transfora ana jambo lake Montferland Run Marathon

Mwanariadha wa kimataifa wa Tanzania na Jeshi la Polisi, Transfora Mussa Ngimbudzi ameondoka nchini leo kwenda Uholanzi kushiriki mashindano ya Montferland Run Half Marathon yatakayofanyika Januari 18, 2026, ikiwa ni mbio yake ya kwanza mwaka huu. Mashindano hayo yanamkuta Transfora akirejea kwenye jukwaa la kimataifa baada ya msimu uliopita uliogubikwa na changamoto za majeraha yaliyomzuia…

Read More

Simba yatinga 32-Bora na rekodi mbili

SIMBA imeanza michuano ya Kombe la Shirikisho kibabe kwa kuifumua Kilimanjaro Wonders kwa mabao 6-0, huku ikiandika rekodi mbili katika hatua ya 64 Bora kwenye Uwanja wa KMC Complex, jijini Dar es Salaam. Rekodi ya kwanza iliyowekwa na timu hiyo ni kufunga bao la mapema likiwekwa sekunde 18 baada ya filimbi ya kwanza ya kuanzisha…

Read More

Célestin Ecua atuma salamu nzito

SAA chache baada ya Célestin Ecua kutambulishwa kuwa mchezaji wa Yanga, mwenyewe ameibuka na kutuma ujumbe wenye ahadi ya kufanya vizuri zaidi kuipa mafanikio klabu hiyo ambayo msimu uliopita ilibeba mataji matano ambao ni Kombe la Toyota, Ngao ya Jamii, Kombe la Muungano, Ligi Kuu Bara na Kombe la FA. …

Read More

Dk Biteko: Tunajivunia mchango wa viongozi wa dini

Geita.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za dini ili kuchagiza maendeleo na ustawi wa wananchi. Dk Biteko amesema hayo leo Jumapili Agosti 17, 2025 wakati akimwakilisha Makamu Rais, Dk Philip Mpango katika maadhimisho ya miaka 125 ya Ukristo na Uinjilishaji katika Parokia ya Kome, Jimbo…

Read More

Maelfu waandamana Venezuela kupinga ushindi wa Rais Maduro

  Vikosi vya usalama nchini Venezuela vimetumia mabomu ya machozi na risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji walioingia mitaani kupinga matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi rais Nicolas Maduro. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Matokeo hayo ya uchaguzi wa juzi Jumapili yanapingwa na upande wa upinzani pamoja na kutiliwa mashaka na mataifa kadhaa ya kigeni. Maelfu…

Read More