Tanzania, Kenya sasa kufanya biashara ya umeme
Dar es Salaam. Siku tatu zijazo nchi za Kenya na Tanzania zitaweza kufanya biashara ya umeme baada ya kuwashwa kwa njia ya msongo wa kilovoti 400 inayounganisha mataifa hayo mawili vinara kiuchumi ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. Hatua inayotarajiwa kuongeza juhudi za kupunguza mgao wa umeme na kukabiliana na hitilafu za umeme baina ya…