UN tayari kusaidia Nepal kufuatia maandamano mabaya juu ya marufuku ya media ya kijamii – maswala ya ulimwengu

Polisi walitumia gesi ya machozi na kufungua moto kwa waandamanaji kujaribu kujaribu kutikisa Bunge katika mji mkuu, Kathmandu, kulingana na ripoti za vyombo vya habari. Kutengwa kwa watu kumewekwa katika sehemu za jiji na Rupandehi, na vizuizi kwa harakati zenye ufanisi katika Pokhara. ‘Kwa hivyo tofauti na Nepal’ Mratibu wa mkazi wa UN, Hanaa Fikry…

Read More

Daktari kwenye mistari ya mbele ya tetemeko la ardhi la Afghanistan – maswala ya ulimwengu

Nyumbani mwake huko Jalalabad, takriban kilomita 50 mbali na kitovu, Dk Sahak na mkewe walitoka nje ya chumba chao kupata watoto wao wanane tayari kwenye barabara ya ukumbi. “Mara moja nilifikiria juu ya Herat,” daktari wa Afghanistan katika miaka yake ya marehemu aliniambia, akizungumzia matetemeko ya ardhi ambayo yaliharibu mkoa wa magharibi wa nchi hiyo…

Read More

Bado Watatu – 17

“HEBU eleza tukio lilivyotokea.” Akaniambia kwamba yeye alikuwa muuguzi wa hospitali ya Bombo ambayo ni ya mkoa. Jana yake alikuwa na zamu ya kulala kazini. Lakini aliporudi asubuhi kutoka kazini akakuta wezi wameruka ukuta na kuvunja mlango wa nyuma na kumuibia vitu kadhaa. “Unasema waliruka ukuta wakavunja mlango wa nyuma?” “Ndiyo.” “Wameiba nini?” “Labda niseme…

Read More

Waziri Mkuu aagiza walionunua mabati yasiyofaa Katavi wakamatwe

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameagiza kukamatwa kwa watu wote waliohusika na ununuzi wa mabati yasiyokidhi viwango yenye thamani ya takribani Sh200 milioni yaliyokusudiwa kutumika katika ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi. Pia, ameagiza viongozi wa vyama vya ushirika wanaodaiwa kuhusika katika ubadhirifu wa fedha za mbolea katika Mkoa wa…

Read More

Aliyemuua shangazi yake akimtuhumu kwa uchawi, kunyongwa

Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyohukumiwa Sami Kisenga baada ya kukutwa na hatia ya kumuua shangazi yake, Holo Kisenga (50) kwa kumkata na panga kichwani na shingoni, akimtuhumu kuwa ni mchawi na amemuua baba yake. Mauaji hayo yalidaiwa kutokea Mei 19, 2019 katika Kijiji cha Nyaligongo, Mkoa wa Shinyanga. Sami…

Read More

Zaidi ya wanafunzi 1,000 kupelekwa India, China, Malaysia na Uturuki wakiwa Mabalozi wa Utalii na Uwekezaji wa Tanzania”

Na Mwandishi Wetu WAKALA wa Elimu Nje ya Nchi Global Education Link (GEL) inatarajia kusafirisha wanafunzi zaidi ya 1,000 kwenda kusoma kozi mbalimbali nje ya nchi na imeanza kushirikiana na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), kuwatumia wanafunzi wanaosoma nje ya nchi kutangaza utalii. Hayo yalisemwa jana jijjini Dar es Saaalaam na Mkurugenzi Mkuu wa (GEL),…

Read More

Lissu: Mimi ni mshitakiwa wa uhaini sio mwenzenu

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiomba Mahakama iwaamuru mawakili wa Jamhuri kumtambulisha yeye kama mshitakiwa na sio mwezao. Amesema kuwa yeye ni mshitakiwa wa makosa ya uhaini hivyo, anapaswa kuitwa hivyo na sio mawakili hao kumuita mwenzao. Lissu anakabiliwa na shitaka moja la uhaini katika Mahakama Kuu…

Read More