Lwandamina: Kwa Yanga hii mtakoma!
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Yanga, George Lwandamina amesema timu hiyo itaendelea kutawala endapo wapinzani wao hawatakuwa na mikakati mizuri. Raia huyo wa Zambia aliyewahi kuifundisha Yanga kwa misimu miwili kuanzia 2016-2018 alisema, sababu kubwa inayochangia timu hiyo kufanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo ni kutokana na usajili mzuri uliofanywa na viongozi wao kikosini. “Yanga ina…