SERIKALI KUBORESHA MIFUMO YA UTOAJI HUDUMA KATIKA SEKTA BINAFSI
Serikali imesema ipo katika mipango ya kuboresha mifumo ya utoaji huduma sekta binafsi ikiwemo kutengeneza mazingira rafiki katika nyanja mbalimbali jambo ambalo lisaidia kuongeza tija kwa kuongeza mapato kupitia kodi. Akizungumza jijini Dar es Salaam Agosti 7, 2024 akiwa katika ziara ya kukagua na kusikiliza changamoto za Bandari Kavu ya Bravo, AGL na Kampuni…