Miradi 901 yasajiliwa nchini mwaka 2024
Geita. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesajili miradi 901 ya uwekezaji ya Dola 9.3 bilioni za Marekani (Sh23.01 trilioni), kwa mwaka 2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 41.6 ya miradi iliyosajiliwa mwaka 2022. Mwenyekiti wa bodi ya kituo hicho, Dk Binilith Mahenge amesema hayo leo Jumatano Januari 22, 2025 alipotembelea mgodi wa uchimbaji madini ya…