
Dkt. Samia Ahimiza Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu – Global Publishers
Last updated Sep 20, 2025 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake…