
Aweso awahakikishia Wana dakawa-Mvomero maji ya Uhakika
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali inajenga miradi ya maji 8 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 15 kwa lengo la kuboresha hali ya upatikanaji wa majisafi katika Wilaya ya Mvomero.Pia Kwa eneo la Dakawa mjini amesema kuna mradi wa uboreshaji huduma ya Maji wa kiasi cha Bilion 2.3 ambapo tayari Mkandarasi amepokea…