Maisha ya wachimba migodi hayapaswi kuhatarishwa – DW – 18.11.2024
Katika jarida la kila wiki, Ramaphosa amesema hali ya mvutano kati ya polisi na wachimba migodi haramu huenda ikageuka na kuwa ya hatari. Ramaphosa ameongeza kuwa mgodi wa Stilfontein ni eneo la uhalifu ambapo kosa lauchimbajiharamu wa madini linafanywa. Rais huyo pia amesema ni hatua za kawaida kulinda eneo la uhalifu na kufunga njia zote zinazowezesha…