Mikumi safi majaribio timu ya taifa kriketi
TIMU ya Mikumi imepata ushindi wa tatu dhidi ya Ngorongoro katika kriketi, ambapo safari hii imeshinda kwa wiketi mbili kwenye Uwanja wa Dar Gymkhana. Timu hizo za kombani zinaundwa na wachezaji nyota wa kriketi nchini kama maandalizi ya timu ya taifa kwa michuano ya kufuzu Kombe la Dunia zitakazochezwa Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi…