Mke aomba mumewe atangazwe marehemu

Dar es Salaam. Katika matukio nadra kutokea, hili la Stela Ishengoma, kufungua maombi Mahakama Kuu, akiiomba itamke kuwa mumewe, Dawson Ishengoma ni marehemu baada ya kutomuona kwa miaka saba mfululizo ni mojawapo. Katika maombi hayo namba 71 ya mwaka 2023, Stella kupitia kwa wakili wake, Joseph Sungwa, alieleza kuwa mume wake huyo hajawahi kusikika au…

Read More

Ufahamu ugonjwa ulioondoa uhai wa Ndugai

Dar es Salaam. Wakati Katibu wa Bunge la Tanzania, Baraka Leonard akisema Spika mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amefariki dunia kwa shinikizo la damu kushuka lililosababishwa na maambukizi makali kwenye mfumo wa hewa, wataalamu wa afya wameuelezea ugonjwa huo. Wakizungumza na Mwananchi leo Agosti 10, 2025 wataalamu hao wamesema shinikizo la damu la kushuka ni…

Read More

Serikali yapiga marufuku askari wa majiji kuwanyang’anya wafanyabiashara bidhaa zao

Dodoma. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameyaagiza majiji yote nchini kuacha mara moja vitendo vya kuwanyang’anya wafanyabiashara wadogo bidhaa zao wanazouza mitaani, kwani ndiyo ofisi na mitaji yao ya kujikomboa kimaisha. Aidha ameagiza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kufanya tathmini ya wafanyabiashara waliopo  kwenye masoko ya jiji hilo na kama bado kuna uhitaji watafute maeneo…

Read More

Upungufu wa wataalamu, vitendeakazi changaoto Wizara ya Kilimo

Unguja. Wakati Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar ikiendelea na ziara Pemba, imebaini inakabiliwa na changamoto ya wataalamu wa kilimo na vitendeakazi. Kutokana na hilo, wizara imeahidi kutafuta njia bunifu za kutumia ili kusaidiana na wataalamu na vitendeakazi vilivyopo kwa lengo la kuongeza ufanisi bila kuongeza gharama. Hayo yameelezwa leo Jumanne Desemba 9,…

Read More

Faida upanuzi kiwanda cha K4, Kilombero

Dar es Salaam. Miaka kadhaa iliyopita upatikanaji wa sukari Tanzania ilikuwa miongoni mwa masuala yaliyoitatiza Serikali kuhamasisha uwekezaji mpya ili kuhakikisha uzalishaji unatosheleza mahitaji. Takwimu zilizopo zinaonyesha mahitaji ya sukari kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani ni tani zaidi ya 650,000 na uzalishaji wa ndani haukidhi mahitaji. Mikate, vinywaji baridi, migahawa na baadhi…

Read More

Mpole anukia Singida Black Stars

MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, George Mpole yuko hatua za mwisho ili kujiunga na Singida Black Stars kwa mkopo wa miezi sita, baada ya uongozi wa TP Lindanda kutoridhishwa na kiwango alichonacho tangu alipojiunga na kikosi hicho cha jijini Mwanza. Taarifa kutoka ndani ya Pamba Jiji zilizonaswa na Mwanaspoti ni kwamba, Mpole ni miongoni mwa washambuliaji…

Read More

Nida: Msitafute vitambulisho kwa matukio

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), imesema wananchi wanapaswa kuacha kufuatilia kupata vitambulisho hivyo kwa matukio na badala yake kuhakikisha wanakuwa navyo mapema. Wito huo umetolewa na Ofisa Habari wa Mamlaka hiyo, Geofrey Tengeneza, alipozungumza na Mwananchi Digital, iliyokuwa inafuatilia ongezeko la watu wanaofika kupata huduma katika ofisi mbalimbali za mamlaka hiyo…

Read More