Dabo apotezea ushindi, aelekeza nguvu fainali
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Youssouph Dabo amesema licha ya timu hiyo kupata ushindi mnono wa mabao 5-2, dhidi ya Coastal Union ila amesahau matokeo hayo, na nguvu kwa sasa anazielekeza mechi ya fainali Jumapili. Kauli ya Dabo inajiri baada ya timu hiyo kutinga fainali ya Ngao ya Jamii na sasa inasubiri mshindi kati ya…