Yule Mmorocco wa Azam atua mchana wa leo
UNAKUMBUKA Mwanaspoti mapema wiki hii tuliwajulisha juu ya mipango waliyonayo Azam FC ya kumleta Kocha wa zamani wa Raja Casablanca na klau nyingine kadhaa, Rachid Taoussi? Basi hivi unavyosoma, jamaa keshatua nchini leo mchana tayari kuanza kazi na klabu hiyo. Azam ilikuwa ikimalizana na kocha huyo ikielezwa atapewa mkataba wa miaka miwili kuchukua nafasi ya…