Unawezaje kujinasua na “Kodi ya Meza”

Katika maisha ya mijini, “kodi ya meza” imekuwa utaratibu usioandikwa wa kupanga matumizi ya fedha za nyumbani. Ni utaratibu  wa “kuweka juu ya meza” kiasi fulani kila siku kwa ajli ya matumizi ya siku kama vile chakula, nishati ya kupikia, maji, na hata nauli za watoto kwenda shule. Kwa haraka haraka, mtindo huu unaonekana mwepesi…

Read More

Mido ya boli APR yaanza na moto

KIUNGO mpya wa APR ya Rwanda, Dao Rouaf Memel ameanza na moto kwenye mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi dhidi ya Bumamuru wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0, juzi, Jumatano kwenye Uwanja wa KMC. Licha ya mabao ya APR kufungwa na Ouattara Dj dakika ya…

Read More

Jipya lingine la Fadlu hili hapa

KWA mashabiki huko mitaani tambo ni nyingi, lakini katika kikosi cha Simba, mambo yanaendelea kusukwa taratibu, kwani timu iko kambini kujiwinda na Simba Day wiki ijayo, huku uongozi mpya nao ukiweka mambo sawa kwa ajili ya kujipanga na msimu mpya wa mashindano. Lakini, katikati ya yote hayo, kocha wao, Fadlu Davids anaendelea kutesa tu msimbazi…

Read More

AIRTEL MONEY YAZINDUA “AIRTEL MONEY NI BUREE” NA NI NAFUU” KUONGEZA UHURU WA KUFANYA MIAMALA AIRTEL MONEY

  Dar es Salaam, Agosti 28, 2025 – Airtel Money Tanzania leo imetangaza uzinduzi wa kampeni mbili kabambe maalum kwa wateja wake wa Airtel Money itakayojulikana kama Airtel Money Ni Buree na Ni Nafuu, ikiwa na lengo la kuendelea kutoa uhuru zaidi kwa wateja wote wanaotumia Airtel Money. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi iliyofanyika Makao…

Read More

Askofu Novatus Rugambwa afariki dunia Roma

Askofu Mkuu, Novatus Rugambwa, Mtanzania aliyewahi kuhudumu kama Balozi wa Baba Mtakatifu katika nchi mbalimbali duniani amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu huko Roma, Italia. Askofu Mkuu Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 akiwa Roma,  alikokuwa akiishi baada ya kustaafu utumishi wake wa kidiplomasia. Askofu huyo alizaliwa Oktoba 8, 1957 mkoani Kagera na kuwekwa…

Read More

Wasiwasi ulioibuka kuhusu kuwarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania ‘kwa kutumia nguvu’ — Global Issues

Hadi kufikia mwishoni mwa Novemba 2025, kulikuwa na zaidi ya wakimbizi 140,000 wa Burundi katika nchi jirani ya Tanzania, ambao wamekimbia machafuko ya wenyewe kwa wenyewe kwa miaka mingi nchini Burundi. Wakati maelfu wanaendelea “kurejeshwa kwa hiari”, afisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) anasema maelfu bado wanaweza kuhitaji ulinzi wa…

Read More