Sara, binti aliyepata mimba shuleni anavyofukuzia ndoto ya udaktari

Dar es Salaam. Tangu utotoni ndoto yake ilikuwa kuwa daktari, kadiri alivyokua shauku ya kuikaribia taaluma hiyo iliongezeka. Aliamini njia pekee ya kufanikisha ndoto hiyo ni kuongeza juhudi kwenye masomo, jambo alilotekeleza hadi pale alipoanza kusumbuliwa na maradhi. Mwaka 2022 akiwa kidato cha pili afya ilizidi kutetereka, ikamlazimu kukatisha masomo ili kupata tiba. Aliporejea shuleni…

Read More

CDQ HATIMAYE AMEZINDUA VISUALIZER YA WIMBO MAARUFU “SUWE”

  CDQ amezindua Visualizer ya Wimbo Maarufu “Suwe” “Suwe” — wimbo wa mtaani wenye mvuto mkubwa kutoka kwa CDQ, uliotayarishwa na Masterkraft na kumshirikisha Ayanfe, sasa umeambatana na visualizer rasmi! Ukijulikana kwa korasi yake ya kuvutia, nguvu ya kipekee, na mchanganyiko mzuri wa Afro-fusion na rap ya asili, “Suwe” umekuwa ukitamba sana kwenye vituo vya…

Read More

Kina Mayele wamtibulia aliyeikacha Yanga

USHINDI wa mabao 2-0 iliyoupata Pyramids dhidi ya Al Ahly, umetibua mambo katika klabu hiyo mabingwa wa kihistoria wa Ligi ya Mabingwa Afrika na sasa moto unawaka huku anayesakwa ni aliyeikataa Yanga. Ni hivi. Kocha wa Al Ahly, Jose Riveiro amekalia kuti kavu ligi kuu ya Misri, akihesabu siku baada ya kuanza vibaya akiwa na…

Read More

Profesa Janabi asimulia alivyosimamia mitihani ya Dk Ndugulile

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema anachokikumbuka kwa aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Faustine Ndugulile ni jinsi alivyomsimamia mitihani miwili kwa nyakati tofauti. Hayo amebainisha alipojitokeza kuomboleza na kuhani msiba wa Dk Faustine Ndugulile nyumbani…

Read More