Moldova yaridhia kwa wingi mdogo kujiunga na EU – DW – 21.10.2024
Rais wa Moldova, Maia Sandu, anayeunga mkono Umoja wa Ulaya, ametangaza leo kwamba kambi yake imeshinda katika mapambano yasiyo ya haki, na kusisitiza kuwa kulikuwa na jaribio la kuharibu demokrasia na kuathiri matokeo ya uchaguzi. Sandu anamtuhumu kigogo anaediwa kufadhiliwa na Urusi kula njama ya kuvuruga zoezi hilo. Kura zilizohesabiwa zinaonyesha asilimia 50.39 ya wapiga…