Mabasi ya abiria yagongana, yawaka moto abiria wakiwa ndani Same
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kuungua moto baada ya basi la abiria kuvaana uso kwa uso na basi dogo na kusababisha kuwaka moto wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro.Ajali hiyo imetokea jioni ya leo Jumamosi Juni 28, 2025 na Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amethibitisha kutokea ajali hiyo. “Kumetokea ajali, gari dogo la…