Sababu Tanzania kuendelea kukumbwa na uhaba wa maji
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Maji Duniani leo Machi 22, 2026, wadau wa maendeleo na mazingira wameainisha sababu kadhaa zinazoendelea kuchangia uhaba wa maji nchini, huku upotevu wake ukitajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa. Mbali na upotevu huo, wadau wameeleza kuwa usambazaji duni wa maji, ukosefu wa…