Huduma za Benki ya CRDB sasa viwango vya kimataifa
Dar es Salaam. Tarehe 8 Septemba 2025: Baada ya saa 72 za maboresho ya mfumo wa uendeshaji wa benki (Core Banking System), huduma za Benki ya CRDB sasa zimerejea zikiwa bora, zenye kasi kubwa zaidi kukidhi viwango vya kimataifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela amesema Benki iliweka juhudi kubwa kuhakikisha jambo hili…