Wanufaika wa Samia Scholarship Extended wahakikishiwa ajira Ulaya
Arusha. Wahitimu wa Kidato cha sita waliofaulu kwa alama za juu zaidi mwaka 2025 walionufaika na programu ya Samia Scholarship Extended DS/AI+ kusoma Shahada ya Kwanza kwenye masomo ya sayansi, ubunifu na akili unde wamehakikishiwa kupata elimu yenye kiwango kinachokubalika kimataifa na uhakika wa ajira kwenye kampuni zilizowekeza nchini Ireland. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu…