Nani msuluhishi wa ndoa yako?

Ndoa ni taasisi muhimu katika jamii, na inahitaji juhudi za pande zote mbili ili iendelee kudumu. Ingawa ndoa inaweza kuwa chanzo cha furaha na utulivu, pia inaweza kuwa na changamoto ambazo, ikiwa hazitashughulikiwa kwa uangalifu, zinaweza kusababisha migogoro, machafuko na hata talaka. Katika hali ya migogoro ya ndoa, usuluhishi unakuwa chombo muhimu cha kutatua matatizo…

Read More

Uchaguzi ni kama dabi ya Kariakoo

Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 unakuja kwa kasi, na kama kawaida. Maandalizi yamejaa maneno, porojo na hekaya za kila namna. Mtaani tunapishana na mabango, bendera, fulana, khanga na kofia za wagombea. Kwa kawaida kampeni ni kachumbari ya uchaguzi. Kila chama kikipiga tantalila zake, kila mwanasiasa akijiona kuwa staa wa siasa. Na wapiga kura wanamshangilia kama…

Read More

Gor Mahia katikati ya mtego wa Simba

WAKATI tamasha la kilele la Simba Day likihitimishwa leo, kikosi cha Gor Mahia ya Kenya kiko katika mtego wakati kikiwa nyuma kwa bao 1-0 dhidi ya ‘Wekundu hao wa Msimbazi’. Iko hivi, mara ya mwisho kwa Simba kupoteza mechi ya Simba Day dhidi ya timu kutoka Kenya ilikuwa mwaka 2012, jambo linalosubiriwa kuona kama Gor…

Read More

Mgombea mwenza Chaumma akerwa utitiri wa kodi, ushuru kwenye mazao, aahidi neema

Morogoro. Mgombea mwenza urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devotha Minja amewahakikishia Watanzania endapo chama hicho kitaingia madarakani kero ya tozo za mazao ya kilimo na utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara zitaondolewa. Amesema Serikali ilipaswa kuwawezesha wakulima kwa zana bora za kilimo  na sio kusubiri wakulima kuteseka kulima, kuvuna na baadae kudaiwa ushuru….

Read More

ACT-Wazalendo, Monalisa wavutana | Mwananchi

Dar es Salaam. Wakati uongozi wa tawi la ACT-Wazalendo la Mafifi mkoani Iringa, ukitangaza kumfuta uanachama kada wake Monalisa Ndala, yeye ameibuka akipinga hatua hiyo. Monalisa amepinga hatua hiyo akibainisha kuwa yeye bado ni mwanachama hai wa ACT-Wazalendo tawi la Kibangu, wilayani Ubungo, mkoani Dar es Salaam na siyo Mafifi kama ilivyoainishwa katika barua ya…

Read More

PDPC Yatoa Onyo Kali: Faini Hadi Bilioni 5 kwa Taasisi Zitakazokaidi Usajili wa Taarifa Binafsi

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma  Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa hiari kwa taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi nchini, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetoa onyo kwa watakaoshindwa kutimiza takwa hilo kwa wakati. Kupitia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Machi 26, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa…

Read More

Mjadala wa ubora wa wahitimu wawekwa mezani

Dar es Salaam. Wakati mjadala kuhusu ubora wa wahitimu wanaozalishwa na vyuo vikuu nchini ukiendelea kushika kasi, Serikali imeitaka Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) kuimarisha usimamizi na mifumo ya uthibiti wa ubora wa elimu ya juu ili kuendana na mahitaji ya soko la ajira. Kauli hiyo imetolewa leo Machi 6, 2026,…

Read More