Srelio haitaki kurudia makosa | Mwanaspoti
BAADA ya timu ya Srelio kupoteza michezo miwili ya kwanza, kocha wa timu hiyo Miyasi Nyamoko amesema kwa mechi dhidi ya maafande wa ABC hawatarudia makosa katika vita ya Ligi ya Kikapu ya Mkoa wa Dar es Salaam (BDL). “Kwa kweli hadi tunafikia michezo tulizopoteza, tumeitana na tumejadiliana, ili kujua kitu kilichotungusha na tumeshajua sababu na sasa…