Julie Manning, mwanamke wa kwanza Mtanzania kuwa jaji afariki dunia
Dar es Salaam. Kifo cha Jaji mstaafu Julie Manning kimetamatisha safari ya maisha ya mwanamke huyo aliyeacha alama ya kipekee katika tasnia ya sheria nchini na ukanda wa Afrika Mashariki, akitambulika kama miongoni mwa waanzilishi wa mafanikio ya wanawake katika taaluma hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Jaji Manning amefariki…