Othman ataja mbinu za kuwawezesha wananchi

Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman ameeleza namna Serikali itakayoundwa na chama hicho, itakavyowawezesha Wazanzibari kujikwamua kiuchumi. Amesema ACT-Wazalendo, ina mipango lukuki ya kuwawezesha Wazanzibari ikiwemo kuwasaidia wananchi wenye kipato duni au wasiokuwa na njia ya kujipatia kipato. “Hawa ndio wale waliokuwa wamekaa tu au kugalagala bila…

Read More