Nishati safi yapigiwa chapuo usafiri wa ardhini

Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi ikishirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza kaulimbiu ya nishati safi na ubunifu katika usafirishaji kuelekea katika maadhimisho ya kwanza ya Wiki ya Usafirishaji Endelevu wa Ardhini nchini. Madhimisho hayo ya mara ya kwanza yanatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 24 hadi 29…

Read More

DK.SAMIA:ANAKWAMBIA ATALETA MAJI KWANI SIKU ZOTE ALIKUWA WAPI?

*Mwingine anasema atatoa elimu bure…kwani CCM hatujatoa ? Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Lindi MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema kwamba hakuna chama kitakachoweza kwa sasa hivi kulinda na kuinua utu wa Mtanzania kama kama Chama hicho. Dk.Samia ametoa kauli hiyo leo Septemba 25,2025 alipokuwa akihutubia mamia ya wananchi…

Read More

Udhibiti dawa za kulevya Tanga wapunguza waraibu

Tanga. Upatikanaji wa dawa ya kulevya aina ya heroini umeelezwa kuwa mgumu katika Jiji la Tanga, hali inayotajwa kuwa matokeo ya kuimarika kwa udhibiti dhidi ya uingizwaji na usambazaji wa dawa hizo. Daktari wa afya ya akili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo, Wallace Karata, amesema kupungua kwa upatikanaji wa heroini ni…

Read More

Morocco yatwaa ubingwa wa CHAN 2024, unakuwa wa tatu

Timu ya taifa ya Morocco, ‘Simba wa Milima ya Atlas’ imetwaa ubingwa wa Fainali za CHAN 2024 baada ya kuifunga Madagascar kwa mabao 3-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Moi Kasarani, Kenya. Hili linakuwa taji la tatu kwa Morocco linaloifanya iwe timu iliyotwaa mara nyingi ubingwa wa CHAN,  ambapo awali ililibeba mara…

Read More

Arajiga kuamua Dabi ya Kariakoo

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limemtangaza mwamuzi Ahmed Arajiga, kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Yanga dhidi ya Simba. Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo, amesema Arajiga atakuwa mwamuzi wa kati katika mchezo huo utakaochezwa kesho kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Ndimbo amesema Arajiga atasaidiwa…

Read More

Ligi Kuu Zanzibar kuanza Septemba 20

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limetangaza kwamba, Ligi Kuu Soka Zanzibar (ZPL) msimu wa 2025-2026 inatarajiwa kuanza Septemba 20, 2025. Ligi hiyo inayoshirikisha timu 16 ambapo 12 za Unguja na 4 kutoka Pemba huku bingwa mtetezi ikiwa Mlandege FC, inatarajiwa kufikia tamati Mei 31, 2026. Wakati ligi ikianza Septemba 20, mchezo wa Ngao…

Read More

ACHPR yataka wote waliomteka Mshabaha nchini Kenya wawajibishwe

Dar es Salaam. Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHRO), imepongeza kukamatwa kwa washukiwa watatu wanaodaiwa kuhusika katika jaribio la kumteka nyara mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha lililotokea nchini Kenya. Washukiwa hao ni raia wawili wa Kenya na Mtanzania mmoja ambao tayari wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na tukio hilo. Tume hiyo…

Read More