Shally Raymond aibua shangwe kwa wajumbe UWT Kilimanjaro
Moshi. Aliyekuwa mbunge wa Viti Maalumu Shally Raymond, ameibua shangwe kutoka kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Kilimanjaro, licha ya jina lake kutojumuishwa katika orodha ya walioteuliwa kugombea nafasi hiyo. Mkutano huo unafanyika leo Jumatano Julai 30, 2025 katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika…