Fanya Hivi Kama Unaona Mpenzi Wako Hamuendani!
NI Jumanne nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana elimu ya uhusiano. Ulimwengu huu ni mzuri kama utampata mtu sahihi. Mtu ambaye mnapendana kwa dhati na hakuna hata mmoja wenu ambaye anamsumbua au kumyanyasa mwenzake. Kizazi cha sasa kimetawaliwa na ugomvi, usaliti, tamaa na kila aina ya mambo mabaya. Bahati mbaya sana hata wale walioko…