
WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO KATIKA ULINZI WA HAKI ZA BINADAMU
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Nyanda Shuli, akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga kuhusu haki na wajibu wao katika kipindi cha uchaguzi. Na Kadama Malunde – Shinyanga Waandishi wa habari mkoani Shinyanga wametakiwa kuzingatia weledi, maadili na kutokuegemea upande wowote wakati wa kuripoti…