
Rais Samia ataja maeneo tisa muhimu sera ya mambo ya nje
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema toleo jipya la Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la 2024), limekuja na maeneo tisa muhimu ambayo ni pamoja na kujielekeza kuimarisha diplomasia ya kiuchumi, kuvutia uwekezaji wa mitaji mikubwa na kutumia fursa ya kijiografia kunufaika na soko huru la biashara la Afrika. Akizungumza…