
Mgombea udiwani Tanga aahidi kusaka mwarobaini mikopo kausha damu
Tanga. Mgombea udiwani wa Kata ya Msambweni, jijini Tanga kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Bakari Idd Chuo ameahidi kutafuta njia mbadala ya kupata mikopo nafuu kwa wananchi wake na kuepukana na ile ya “kausha damu,” ambayo imesababisha baadhi ya ndoa kuvunjika. Akizungumza katika kampeni zake za kujinadi zilizofanyika maeneo ya Tamta, Kata ya Msambweni, jijini Tanga,…