Hii sasa sifa…. Yanga yashusha mwingine pale kati
HAWAJAMALIZA. Hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya Yanga kuwa kwenye hatua za mwisho kumalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Singida Fountain Gate, Abdulmajid Mangalo ili kuongeza nguvu eneo la ulinzi na kuchukua nafasi ya Gift Fred. Yanga eneo hilo la beki wa kati linaundwa na nahodha, Bakari Mwamnyeto ambaye ameongezwa mkataba wa kuendelea kubaki…