WAZIRI MKUU:SERIKALI YATENGA SHILINGI BILIONI 43 KUIMARISHA MICHEZO SHULENI*
………,…… _▪️Azindua mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Iringa_ WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 43 ili kuimarisha michezo katika shule mbalimbali nchini na kati ya hizo, sh. bilioni 32 ni kwa ajili ya kuimarisha Chuo cha Michezo Malya. Amesema shilingi bilioni 11 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuboresha miundombinu ya…